Kuna mahala Simba SC tunakosea

Kuna mahala Simba SC tunakosea

Ukweli unaouma Simba na Yanga zinatumia muda na nguvu nyingi sana kufikiri na kufanya mambo ili kuumizana wao kwa wao; badala ya jinsi ya kufanikiwa kimataifa Kila hatua, kila kitu wanafanya wanafikiria Mtani wa Jadi! Tunajibakisha Ndondo kwa fikra hii.

Naipenda na naiheshimu timu yangu sana. Naipa muda nione matokeo ya mkakati huu. Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa. Zile tano zitahusika nasi sana tu ugenini; hata kama tutashinda nyumbani Muda utaongea.
Mashabiki wa Utopolo Luc hakukosea kuwaita kua mnaropoka ka manyani.
Huo usajili wa kimataifa ndo unakuaje?
 
Ukweli unaouma Simba na Yanga zinatumia muda na nguvu nyingi sana kufikiri na kufanya mambo ili kuumizana wao kwa wao; badala ya jinsi ya kufanikiwa kimataifa Kila hatua, kila kitu wanafanya wanafikiria Mtani wa Jadi! Tunajibakisha Ndondo kwa fikra hii.

Naipenda na naiheshimu timu yangu sana. Naipa muda nione matokeo ya mkakati huu. Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa. Zile tano zitahusika nasi sana tu ugenini; hata kama tutashinda nyumbani Muda utaongea.
Nje ya Tanzania ni 5 kama kawa
 
Hahahaha we jamaa umenichekesha kinoma. Eti mmeanza na ame na kameta. yaani hao ndio wakupunguza zile 5?
Ni kweli kabisa kupunguza magoli ugenini ni swala la mbinu tu. Unafikiri hao Al Ahly wana beki nzuri sana? Wanachofanya ni kuwa compact ugenini, sio kufunguka kama alivyokuwa anafanya Aussems.

Na kuonesha ubovu wa kocha alikuwa anachezesha strikers wawili ugenini wakati timu inashambuliwa almost 70% ya muda wa mchezo. Sasa hiyo ni akili au matope?
 
Simba na Yanga saivi ni zaidi ya uadui hamna utani tena, hili garasha lenu morison mnaongea sana kisa tumemsajili ila atatusaidia kuwafunga nyie vyura.

Saivi tunawaza kushindana na As vita, Tp mazembe, M sundowns sio utopolo wa kupiga 4G

Utopolo tulieni tukawatafutie nafasi za viti maalum mwakani na nyie mshiriki mnaanza kuleta gubu la mke mwenza
Kama Simba tunawaza kuhusu hizo klabu kubwa mbona sijawahi kumuona Manara akiongelea habari za mpira wa kimataifa? Kila siku anarumbana na mashabiki wa Yanga.

Hivi kweli Simba ipo serious?
 
TFF wako upande wa Mikia kuiumiza Yanga. Hili jambo mwisho wake ni CAS.
Hakika huko ndiyo mwisho wa mchezo, na kikao cha TFF na wahusika wa simba na yanga ndiyo moto utakapo waka.
 
Ni kweli kabisa kupunguza magoli ugenini ni swala la mbinu tu. Unafikiri hao Al Ahly wana beki nzuri sana? Wanachofanya ni kuwa compact ugenini, sio kufunguka kama alivyokuwa anafanya Aussems.

Na kuonesha ubovu wa kocha alikuwa anachezesha strikers wawili ugenini wakati timu inashambuliwa almost 70% ya muda wa mchezo. Sasa hiyo ni akili au matope?

Una cheti cha ukocha lakini.

ni sawa na doktakushauri mgonjwa ameze 2 kutwa mara 1...wewe una sema ameze 1 kutwa mara 2.
 
Kulia atakimbiza Morrison, Kushoto atakimbiza Miquosone. Sub Deo Kanda, Sub Kahata. Hapo hamna hamna mpaka half time Al Ahly 0-4 Simba, Tena tuko away Misri hapo.
unaota wewe . . Yaani Al Ahly umfunge goli nne kwake ? Hata kina Wydad Casablanca na Raja Casablanca hawawezi. Endelea kuota tu
 
4G sio dozi ya mchezo.Utopolo bado wanabweka. Mbwa wenye vichaa dawa yao risasi 4 za kichwani.
 
Back
Top Bottom