Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

  1. Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?

  2. Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?

  3. Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya?

Wajuaji msimalize pumzi zenu : HAPANA SIJACHEAT

View attachment 3449951
Vipi binti,ulijamba kwa sauti kwenye kikao siriazi?Brrrrrrr tatatataaa!
 
  1. Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?

  2. Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?

  3. Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya?

Wajuaji msimalize pumzi zenu : HAPANA SIJACHEAT

View attachment 3449951
Either Una matatizo ya akili au una nyege kali sana.
 
Back
Top Bottom