Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #21
Asante kaka, nimelipokea na nitalifanyia kazi.Kwanza elewa kukosea ni ubinadamu,hakuna binadamu asiyekosea,kwahiyo usipanik kwa kukisea.Hoja ni ni nini unafanya baada ya kukosea? Omba radhi kwa uliyenkosea na jirekebisha
Vizuri kabisa ni mwendo wa kuswip na kuswap tu. Bahari ikichafuka unahamia ziwani, ziwa likichafuka unahamia Bwawani, Bwana Likichafuka unahamia kisamani. πUtaweza kudeal na mood swings za wanawake wanne mkuu?
Unisahau kwanini sasa?Nimekusamehe Lakini Sitakusahau
Kama unaweza kuwamudu na wote wanaridhika basi kila la kheri.Vizuri kabisa ni mwendo wa kuswip na kuswap tu. Bahari ikichafuka unahamia ziwani, ziwa likichafuka unahamia Bwawani, Bwana Likichafuka unahamia kisamani. π
Nampenda jamani π« πAchana nae hayupo yeye peke yake kwa hii duniaπ€£
Kila la kheriAsante kaka, nimelipokea na nitalifanyia kazi.
Vipi binti,ulijamba kwa sauti kwenye kikao siriazi?Brrrrrrr tatatataaa!
- Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?
- Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?
- Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya?
Wajuaji msimalize pumzi zenu : HAPANA SIJACHEAT
View attachment 3449951
Either Una matatizo ya akili au una nyege kali sana.
- Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?
- Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?
- Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya?
Wajuaji msimalize pumzi zenu : HAPANA SIJACHEAT
View attachment 3449951
Una uhakika, au unaropoka ropoka tu?Wewe kila kukicha una nyuzi lazima zingine zitakua gahawa tu aisee daah..
Nimekusamehe Lakini Sitakusahau
Umejuaje?Either Una matatizo ya akili au una nyege kali sana.
Daah, umenichekesha mpaka masikitiko yamepungua π πVipi binti,ulijamba kwa sauti kwenye kikao siriazi?Brrrrrrr tatatataaa!
Sawa πShida ya wanawake ni ujuaji, know your place when dealing with men
Wacha niropoke ropoke tu lugha za bongo hizi aisee burudani sana nina uhakika ni chai tu hii..Una uhakika, au unaropoka ropoka tu?
Wacha niropoke ropoke tu lugha za bongo hizi aisee burudani sana nina uhakika ni chai tu hii..
Halafu kesho uudhiwe na jambo dogo tu utueleze unahama JF.Nitakushangaa sana.Daah, umenichekesha mpaka masikitiko yamepungua π π