Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #61
Kwahiyo kukosea kidogo tu ndiyo nitafutiwe msaidizi π«1.KUBALI KUWA MKE MWENZA.
Ruthlessness Madume yote ndivyo yalivyo,hayawezi kufanya compromise ya kutwezwa udume wao, lazima yata take action kurudisha heshima yao! kama ulizingua kubali matokeo ya uzinguaji wako!
Limeisha hilo π2.PELEKA KITUMBUA KIKALIWE KWA STYLE YA KIBABE!
Ili kupoza machungu yake hebu mpelekee site ale Hadi ahisi hasira zimeisha!!ukubali style za kibabe sana ambazo hujawahi ziona toka kwake!!
Sawa, nitajaribu hii3.MWELEZE UKWELI UNAVYOJISIKIA BAADA YA KUMKOSEA, MTAZAME USONI!
Kama unaweza Fanya hivyo anaweza ona aibu yeye na kukosa ujasiri zaidi na akakusamehe kabisa na kuona kwamba alichukua hatua Kali sana kuliko kosa lenyewe!!
Sawa, nimelichukua hili. Anafanya kazi leo ila baadaye nitampanga tutoke.4.MWAMBIE, MTOKE OUT
Masotojo,vinywaji na faragha huleta Hali ya kuachilia vinyongo!!
Kwangu sina hii.Wanawake wengi wanaumizwa na roho ya mashindano baada ya kufikia utoshelevu fulani Toka Kwa waume zao!!
Asante, nilijua utanitolea nyongo, ila naona imekua tofauti π ushauri mzuri, nimeupokea.Nimejaribu!
Kuna ambayo hayasameheki?Inategemea na aina ya kosa ulilofanya.
Nahisi kama uliitelezesha kwa juu hivi π€£Sijamnyima mbususu π au hisia zako zimekupeleka wapi?
Unaona akili zako sasa πNahisi kama uliitelezesha kwa juu hivi π€£
Siwezi kabisa hata kujaribu π hatupendi kutelezea huko, tutanajisiwa na tope.Si unajua mtu akianguka anateleza kwa chini ila hii anatelezea juu,may be ukajua jamaa anapenda hii π€£π€£π€£ππππ
Sijamvunjia heshimaWanaume huwa hatusamei tukivunjiwa heshima.
Pole mamie, I hope baba amekusamehe; na mimi niko kwenye situation kama hiyo.1. Niliwahi kumkosea baba yangu, kwa kitu ambacho kwangu sio kosa, ila kwake ni kosa tena kubwa mno.
2. Nilikua mnyonge na kujiona nina hatia, lakini sio juu yangu, ila ni juu ya yeye baba,
3. Sijui na sina hakika km amenisamehe kweli, au amesahau, ila nilichofanya kwanza kukiri kosa, na kuweka usawa baina yetu, pasipo kuharibu kila pande.
Makosa madogo madogo huwa hatujali. Mpe papa maisha yaendelee.Sijamvunjia heshima
Kabisaa. Kwa mimi ME ukiwa wewe KE wangu umechepuka hakuna msamaha - ni red card straight.Kuna ambayo hayasameheki?
Usipange kumuumiza jamani, na usije kushangaa unaumizwa wewe kwanza π€£Kwanza aunty sijawahi kumuumiza mtu ila
Nina mpango huo π€£atakuja kuanzisha humu Uzi jf
Limeisha hilo πMakosa madogo madogo huwa hatujali. Mpe papa maisha yaendelee.
I agree, makosa yanayovunja uaminifu ni ngumu sana kusameheana!Kabisaa. Kwa mimi ME ukiwa wewe KE wangu umechepuka hakuna msamaha - ni red card straight.
Asante ππ½, yote yamefanyika.Jishushe tu kuwa mpole.. Kuwa muwazi na kili
Siteseki bhana nimeamua kukuvamia tu dada angu ili siku iende bhana..Mbona unateseka, acha kufungua nyuzi zangu au kama vipi nitupie kwenye ignore list yako kabisa, upate amani.
Punguza ukorofi basi πSiteseki bhana nimeamua kukuvamia tu dada angu ili siku iende bhana..
Mnaenda vizuriTayari nimemuomba msamaha, ila ameniambia tu kwamba "nimemuumiza sana" na mimi nimeona kabisa nimemkosea, so hiyo hali inaniuma na mimi.