nianze na salam kwenu wana jf ! Jamani hivi kunakuaga na uhusiano gani pale m2 anapovuta sigara at the same time anakuwa anahisi kupata choo na anapokwenda toilet inakuwa nothng chochote ! Je hii inakuwaga ni nini !
Je kuna dawa ya kustop cigarete msaada hapo