kuna mahusiano gani hapa !

kuna mahusiano gani hapa !

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
938
Reaction score
125
nianze na salam kwenu wana jf ! Jamani hivi kunakuaga na uhusiano gani pale m2 anapovuta sigara at the same time anakuwa anahisi kupata choo na anapokwenda toilet inakuwa nothng chochote ! Je hii inakuwaga ni nini !
Je kuna dawa ya kustop cigarete msaada hapo
 
ukipokea uwokovu hizi habari utabakia kuziskia tu bbc!
 
Back
Top Bottom