Mshumaa Ni symbol kubwa Sana Spiritually..
Inaashiria Illumination, Devine Light and Power..
Inaashuria Maagano, Mipango na hata Kazi..
Mshumaa ni nyenzo Pekee Inayoexists Kwenye 5 Element of Nature nazungumzia Air/Earth/Fire/Water To call upon Spirit which is Ether Elements..
Ni somo pana Sana Kuhusu Mshumaa maana Hapo Tunaweza tukaanza na kuzungumzia mpaka Rangi zake zinamaanisha nini na kwanini uchome mshumaa na wakati gani uchome mshumaa..
Ushauri usijichomee tu mshumaa kwa Sababu umeona Unauzwa Dukani bhasi ukanunua Mshumaa wako mweusi Ukawa unafanya meditation bhasi Ukauchoma..
Kuhusu Element Mshumaa hauwezi kuwaka Bila kuwepo kwa Moto (Fire Element), Mshumaa unapowashwa unayeyuka na Kutoa Ntaa kwa mfumo wa Maji kabla ya Kuganda "Hata utengenezaji wake maji uhusika pia" (Water element), Mshumaa ili uweze kuendelea kuwaka lazima kuwepo na Hewa ya Oxygen (Air element) na Mshumaa umetengenezwa Kutokana na Vitu mbalimbali vilivyotokana na Nta ambayo imetokana na Nyuki kikusanya Mazao na baadhi ya vitu kwenye Udongo (Earth element)..
Sasa Zikikutanaga Hizi Element 5 kwa wakati Mmoja ndo huwa Tunaita
The early Power Of Manifestation
Mishumaa hutumika Kuita Spirit au Kucalm spirit au Kuvisit kwenye Spiritial worlds Tunaita (Ether World)..
Kuna mengin sana ya kuongea ila kuna wakati huwa ni vigumu kuyaweka wazi hadharani Labda kama ni kwa njia ya maswali ila sio kuyamwaga tu..
Ndo maana hata FREEMASON na ILLUMINATI huutumia Mishumaa ya rangi maalumu kwa Ritual Maalumu kwenye Pentagram..
Kuhusu Rangi ili naliacha pending maana ni swala la Frequencies..
Licha ya Kuwa na Power ya Kufanya Yote hayo mishumaa Pia ina nguvu ya Uponyaji ,Kulinda (Protection),Uumizaji na hata kutoa Athari endapo itatumika Kuspell baadhi ya Ritual..
Nataka Niwaulize Wakristo na wayahudi..
Kuna mtu anafahamu
menorah (מְנוֹרָה)..
Ule Mshumaa Wenye Vinara saba uliokuwepo Kwenye Sanduku la Agano "The Tabernacle" nani anajua kazi yake??
Na kwani Vinara vile viliwekwa Kwenye sanduku Takatifu la Agano na kwanini hakuruhusiwa Mtu mwinginr isipkuwa Haruni na makuhani wengine?
View attachment 3103320
Unaweza Ukasoma Pia kwenye Exodus 25:31–37; 37:17–24
View attachment 3103324
Na hata ukisoma mwanzoni kwabisa mwa kitabu cha Ufunuo pia utagundua Kitu..
Revelation 1:12-13
View attachment 3103334
View attachment 3103335
So labda kama kuna maswali ila Mshumaa Ni the Power of simple manifestation into Ether worlds If used Precisely Wise
CC:-
min -me