[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duka lake, bidhaa anauza, sema tangazo hajaweka
Hapo yupo Kwa ajili ya pesa.
Hao wanawake mnawatoa wapi🤒🤒🤒
Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba.
Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza.
Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna kitu atakununia na unyumba hupati.
Hapo kuna mahusiano Gani Kati ya Hela na unyumba?
Inakuwaje anakuwa na hisia za kunyanduana pindi unapompa Hela au kutimiza mahitaji yake?
Na mwanamke ambaye uko naye kwenye mahusiano rasmi, akiwa na tabia kama hii ni sahihi au achukuliwe kama Malaya na Hana mapenzi ya dhati?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duka lake, bidhaa anauza, sema tangazo hajaweka
Mkuu umeupiga mwingi🤣Hajielewi,,
Kama ni mpenzi tafuta mwingine utayejipigia zako afu huyu atakuwa tu wa text na call si ndo anachoweza ku offer usipokuaa na Hela,,
Kama ni mke ulimzoesha vibaya,,ukipata Hela mpe na usimsumbue unyumba Wala Nini Yani aelewe kwamba yeye sio "SOURCE PEKEE YA UNYUMBA HAPA DUNIANI"
Mie bila kumungunya maneno kama demu ana kismart bin Mahela!! asee ntampa bila hata kuomba lkn kwa akili sana! ili asijue kuwa nimegundua kismart chake!Duka lake, bidhaa anauza, sema tangazo hajaweka