Kuna maisha baada ya mahusiano bwana

umeachwaaaaa kama alikuwa hana bikra usiumie hakuwa wako mkuu
 
Sijui niazie wapi kuandika ila wakuu naamini kuna masha baada ya mahusiano hata lowassa alisema ivo na yeye anaendelea vizuri tuu na maisha yake.
Nami pia nitaendelea vizuri tuu.

Nachukia sana wanawake maana ana roho katili sana
hahahaha!!!nawapenda wanawake kwa sababu mama yangu Ni mwanamke na mtoto wangu Ni mwanamke na mke wangu Ni mwanamke
 
Pole sana mkuu hayo yote ni Mapito tuu, haukua ubavu wako huo wako upo ukifanikiwa kuupata tu utatulia wenyewe hauto kuumiza kichwa
 
Umepatikana leo, kuwa tu mpole mbona cc mkituacha tunanyamaza?

Nachukia sana wanawake maana ana roho katili sana[/QUOTE]

Hapo vp, na bi mkubwa wako pia unamchukia??
 
Sijui niazie wapi kuandika ila wakuu naamini kuna masha baada ya mahusiano hata lowassa alisema ivo na yeye anaendelea vizuri tuu na maisha yake.
Nami pia nitaendelea vizuri tuu.

Nachukia sana wanawake maana ana roho katili sana
Masha-maisha
ivo-hivyo
ana-wana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…