God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha!!!nawapenda wanawake kwa sababu mama yangu Ni mwanamke na mtoto wangu Ni mwanamke na mke wangu Ni mwanamkeSijui niazie wapi kuandika ila wakuu naamini kuna masha baada ya mahusiano hata lowassa alisema ivo na yeye anaendelea vizuri tuu na maisha yake.
Nami pia nitaendelea vizuri tuu.
Nachukia sana wanawake maana ana roho katili sana
Nachukia sana wanawake maana ana roho katili sana
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/16094702Sijui niazie wapi kuandika ila wakuu naamini kuna masha baada ya mahusiano hata lowassa alisema ivo na yeye anaendelea vizuri tuu na maisha yake.
Nami pia nitaendelea vizuri tuu.
Nachukia sana wanawake maana ana roho katili sana
wenye hekima huyaona mkuuPole kijana, haya mambo ni magumu sana hata tukifunuliwa ni vigumu kuyaona.
Hata wakiyaona, bado wanashindwa kung'amua mkuu!!!wenye hekima huyaona mkuu
naitakaIpo ukitaka unapigwa daya ya kuzuia mwamko kwa mwanaume/mwanamke unayasahau mambo ya ngono we hata ukiona vifaa vya namna gani unaona kawaida tu
Masha-maishaSijui niazie wapi kuandika ila wakuu naamini kuna masha baada ya mahusiano hata lowassa alisema ivo na yeye anaendelea vizuri tuu na maisha yake.
Nami pia nitaendelea vizuri tuu.
Nachukia sana wanawake maana ana roho katili sana