Kuna maisha watu wanapitia kushinda njaa kuliko kipindi cha Ramadan ila ikifika ramdan wanashindwa kutekeleza au kuzidiwa.

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja.

Kuna wengine hata uhakika wa msosi hana lakini huwezi kuona wanatetereka.

Ramadan ikifika wengi hulegea na wengine hujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso.

Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nin?
 
Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja.

Kuna wengine hata huhakika wa msosi utoshelezi lakini uwezi kuona wanateteleka.

Ramadan ikifika wengi ulegea na wengine ujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso.

Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nini
Ni saikolojia tu..!! Hiyari inayotokana na uwezo wako, hushinda utumwa
 
Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja.

Kuna wengine hata huhakika wa msosi utoshelezi lakini uwezi kuona wanateteleka.

Ramadan ikifika wengi ulegea na wengine ujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso.

Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nini
Ramadhani sio kushinda njaa mkuu kuna mengi hufanyika ndani ya mwezi huo, wasio jua uislami wanaona kama kitendo cha kushinda njaa ndo Ramadhan ni upotofu huo.
 
Sasa mbona mnawachapa wakristo wakiwa wanakula znz kama hamshindi njaa
 
Yaani ule daku ushindwe kukaa just 12hrs bila kula??
Ni uzembe wa hali ya juu huo.
 
Kufunga na kushinda njaa yana fanana sababu mdomo ujaingiza chochote kwenda tumboni
We unakula daku saatisa usiku then unafuturu saakumi na mbili jioni

Ni masaa tisa tu hapo .

Sasa kuna watu hajala hiyo inaitwa daku na kakosa chakula siku nzima.
 
Kweli kabisa umeongea ukweli alafu wanakwambia ramadan wanasayansi wamethibitisha mfungo unaondoa maradhi wakati wanapiga daku usiku ya maana baada ya masaa 9 wanafungua
 
Ndio,na we funga hivyo uone,fanya tu jaribio,,na tambua kufunga si kujizuia kula na kunywa tu,ni pamoja na kujiepusha yote alokataza mungu na kufuata aloamrisha (kiislamu)
 
Kufunga tushafunga sana mpaka ramadan unaona kama test mic test kwenye maisha haya.Ni shakaa siku masaaa 32 bila kupata chochote we unaweza.
 
Kweli kabisa umeongea ukweli alafu wanakwambia ramadan wanasayansi wamethibitisha mfungo unaondoa maradhi wakati wanapiga daku usiku ya maana baada ya masaa 9 wanafungua
Hayo masaa tisa umeyasoma kwenye hesabu ya shule gani?
Daku una kula saa 9:00usiku na unakuja kufuturu saa 1:20 jioni ikiheshabu hapo kuna masaa zaidi ya 15.
 
We utakuwa unaishi wingereza maana kufuturu mda unaosema
 
Huenda watu wamepata mbadala wa hizi mbili Dini kongwe au wamezichoka.

Na kwaresma wakristo ndio kabisa ni asilimia haifiki mbili.
 
Back
Top Bottom