Kuna maisha watu wanapitia kushinda njaa kuliko kipindi cha Ramadan ila ikifika ramdan wanashindwa kutekeleza au kuzidiwa.

Kuna maisha watu wanapitia kushinda njaa kuliko kipindi cha Ramadan ila ikifika ramdan wanashindwa kutekeleza au kuzidiwa.

Nimwendo wa kuigiza akiwa karbu yako utamsikia kila saa swaum yaleoo.ilimrad ujue kafunga
 
Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja.

Kuna wengine hata huhakika wa msosi utoshelezi lakini uwezi kuona wanateteleka.

Ramadan ikifika wengi ulegea na wengine ujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso.

Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nini
Mkuu kushinda njaa bila kukusudia ni rahisi kuliko kushinda njaa kwa kukusudia. Mfano ukidhamiria kuwa nafunga ni kipengele. Au ushinde njaa kwa sababu huna chakula napo kipengele.
Ni rahisi kushinda njaa bila kukusudia mfano uko bsy siku nzima hata chakula hukifikirii.
 
Shida nikuwa tunakuwa hatutegemei tena kula mpaka mda flan kuhusu kupitia pindi ngumu kila mtu anaaminiga mda wowote atakula tu.
 
Back
Top Bottom