Ni saikolojia tu..!! Hiyari inayotokana na uwezo wako, hushinda utumwaUnaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja.
Kuna wengine hata huhakika wa msosi utoshelezi lakini uwezi kuona wanateteleka.
Ramadan ikifika wengi ulegea na wengine ujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso.
Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nini
Ramadhani sio kushinda njaa mkuu kuna mengi hufanyika ndani ya mwezi huo, wasio jua uislami wanaona kama kitendo cha kushinda njaa ndo Ramadhan ni upotofu huo.Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja.
Kuna wengine hata huhakika wa msosi utoshelezi lakini uwezi kuona wanateteleka.
Ramadan ikifika wengi ulegea na wengine ujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso.
Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nini
Funga threadNi saikolojia tu..!! Hiyari inayotokana na uwezo wako, hushinda utumwa
Inashangaza Sana .Yaani ule daku ushindwe kukaa just 12hrs bila kula??
Ni uzembe wa hali ya juu huo.
We unakula daku saatisa usiku then unafuturu saakumi na mbili jioniKufunga na kushinda njaa yana fanana sababu mdomo ujaingiza chochote kwenda tumboni
Kweli kabisa umeongea ukweli alafu wanakwambia ramadan wanasayansi wamethibitisha mfungo unaondoa maradhi wakati wanapiga daku usiku ya maana baada ya masaa 9 wanafunguaWe unakula daku saatisa usiku then unafuturu saakumi na mbili jioni
Ni masaa tisa tu hapo .
Sasa kuna watu hajala hiyo inaitwa daku na kakosa chakula siku nzima.
Ndio,na we funga hivyo uone,fanya tu jaribio,,na tambua kufunga si kujizuia kula na kunywa tu,ni pamoja na kujiepusha yote alokataza mungu na kufuata aloamrisha (kiislamu)Kweli kabisa umeongea ukweli alafu wanakwambia ramadan wanasayansi wamethibitisha mfungo unaondoa maradhi wakati wanapiga daku usiku ya maana baada ya masaa 9 wanafungua
Kufunga tushafunga sana mpaka ramadan unaona kama test mic test kwenye maisha haya.Ni shakaa siku masaaa 32 bila kupata chochote we unaweza.Ndio,na we funga hivyo uone,fanya tu jaribio,,na tambua kufunga si kujizuia kula na kunywa tu,ni pamoja na kujiepusha yote alokataza mungu na kufuata aloamrisha (kiislamu)
Umehusisha saikolojia?Kufunga na kushinda njaa yana fanana sababu mdomo ujaingiza chochote kwenda tumboni
Hayo masaa tisa umeyasoma kwenye hesabu ya shule gani?Kweli kabisa umeongea ukweli alafu wanakwambia ramadan wanasayansi wamethibitisha mfungo unaondoa maradhi wakati wanapiga daku usiku ya maana baada ya masaa 9 wanafungua