Kuna maisha watu wanapitia kushinda njaa kuliko kipindi cha Ramadan ila ikifika ramdan wanashindwa kutekeleza au kuzidiwa.

Nimwendo wa kuigiza akiwa karbu yako utamsikia kila saa swaum yaleoo.ilimrad ujue kafunga
 
Mkuu kushinda njaa bila kukusudia ni rahisi kuliko kushinda njaa kwa kukusudia. Mfano ukidhamiria kuwa nafunga ni kipengele. Au ushinde njaa kwa sababu huna chakula napo kipengele.
Ni rahisi kushinda njaa bila kukusudia mfano uko bsy siku nzima hata chakula hukifikirii.
 
Shida nikuwa tunakuwa hatutegemei tena kula mpaka mda flan kuhusu kupitia pindi ngumu kila mtu anaaminiga mda wowote atakula tu.
 
Wakifunga Sababu hawana chakula haina maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…