Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,138
Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata.

Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana maneno Tena nikamlamba ngumi ya meno..

Akadai ataaniitia mwizi nikamkumbusha unajua Upo kwangu? Akaacha Kupiga filimbi. Akakauka. Lkn akaning'ata imeniuma Sana Hadi sasa ninakidonda nimekisafisha na usol japo maumivu yapo.

Jamani nimewaza sana Hadi sabb yankuniuma umma.
 
Ipo siku utaitiwa mwizi kweli na story yako ikaisha, acha kujifanya mjuaji, umeanza ukorofi kwa kumpiga ngumi ya meno afu unakuja jf kulalama kama toto dogo wakati ugomvi umeunza mwenyew
Tokana na nature ya kazi za boda na hao Bajaj kukuta ana nondo, visu au spanner ni kawaida, anakudhuru vibaya huo usiku...
 
Hiyo ngumi yako itakuwa mithili ya kofi. Ingekuwa ngumi kweli ya meno kama ulivyosema asingekuwa na hali wala meno ya kukung'ata baada ya hapo.

Msidanganyike na movie za kichina mkadhani watu wanarusha tu mikono, kuna ujuzi unatakikana. Bahati yako umekutana na mnyonge mwenzio, ungekutana na mbabe mwingine saa hizi usingekuwa hata na hali ya kuanzisha uzi.

Ila mwisho wa yote nawaza ulipokuwa unang'atwa ulikuwa unafanyaje na wewe au ndio ulikuwa unapiga ukunga 'nang'atwaaaaaaaaaaaa' huku unaruka ruka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata.

Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari... Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao...
Ulichokificha kwenye maelezo yako ni uhusika wako kwenye huko kupishana.

Ujinga wako utakuzawadia kaburi siku moja
 
Ukiona hivyo huyo demu wako ni chakula ya huyo dereva wa bajaji ndio maana kapata hasira na wewe
 
Pombe ni nzuri zaidi kwa wanaume waliooa baridi kali hili unaenda bar kujitafutia mabalaa tu
 
.
Screenshot_20220717-181604_Gallery.jpg
 
Mama muuza ongeza chapati, chai haijaisha bado
 
Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata.

Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari... Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao..... Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana maneno Tena nikamlamba ngumi ya meno..

Akadai ataaniitia mwizi nikamkumbusha unajua Upo kwangu?? Akaacha Kupiga filimbi. Akakauka. Lkn akaning'ata...imeniuma Sana Hadi sasa ninakidonda nimekisafisha na usol.....japo maumivu yapo.

Jamani nimewaza sana Hadi sabb yankuniuma umma.
Faida ya mlevimbwa, pombe siyo maji na sasa utakufa kwa tetenasi usipoenda kuchoma sindano ya pepopunda, hongera dereva.
 
Back
Top Bottom