Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Tokana na nature ya kazi za boda na hao Bajaj kukuta ana nondo, visu au spanner ni kawaida, anakudhuru vibaya huo usiku...Ipo siku utaitiwa mwizi kweli na story yako ikaisha, acha kujifanya mjuaji, umeanza ukorofi kwa kumpiga ngumi ya meno afu unakuja jf kulalama kama toto dogo wakati ugomvi umeunza mwenyew
Ulichokificha kwenye maelezo yako ni uhusika wako kwenye huko kupishana.Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata.
Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari... Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao...
Ni lama Manara hawa jamaaKuna wengine mkinywa pombe mood zenu ni ngumi, kwa maana hata hakieleweki chanzo cha kuumizana.
Nenda hospitali uanze dozi ya pepDereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata.
Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari... Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao...
Faida ya mlevimbwa, pombe siyo maji na sasa utakufa kwa tetenasi usipoenda kuchoma sindano ya pepopunda, hongera dereva.Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata.
Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari... Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao..... Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana maneno Tena nikamlamba ngumi ya meno..
Akadai ataaniitia mwizi nikamkumbusha unajua Upo kwangu?? Akaacha Kupiga filimbi. Akakauka. Lkn akaning'ata...imeniuma Sana Hadi sasa ninakidonda nimekisafisha na usol.....japo maumivu yapo.
Jamani nimewaza sana Hadi sabb yankuniuma umma.