Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

humu si ajabu 80% ni wateja wa bajaj, bodaboda na tax hizi. mnaanzia wapi na hawa watu mpaka kupigana? Nauli inajulikana kabla ya safari, unakokwenda panajulikana kabla ya safari, JICHUNGUZE, INAWEZEKANA WEWE NI HAZARD.
 
Kachome hizo tetenus na kichaa cha mbwa, daah ni shida sana...
 
Sasa inakuuma kung'atwa wakati wewe ndio ulikuwa wa kwanza kumpiga ngumu, zoezi la kung'atwa limeenda sambamba na ngumi yako (action and reaction always equal but opposite)...reaction force (kung'atwa) imekuwa kubwa kuliko action force (ngumi) ndio maana umeumia sana kung'atwa kuliko wewe ulivyomtwanga ngumi
 
Watu wengine mkilewa mnajikuta mabaunsa sana
 
Ww umempiga ngumi unaona poa yeye kukung'ata umeleta uzi kabisaa jiangalie
 
Kwa tathimini ndg tu ulikua umeshaweka vyombo kichwani, haiingii akilini uko mzima mfikie kupishana kauli mpaka kwenye vibao tena? Pombe mbaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…