Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Matendo haya hayaendi pamoja hata siku moja.. Upande mmoja maji yakipwa basi upande mwingine maji hujafa
Maji yakipwa yana faida na hasara zake! Vilevile maji yakijaa yana faida na hasara zake
Tunachoangalia hapa ni matendo yote mawili kuyaweka kwenye mizania. Ni lipi lina hasara zaidi na lipi lina faida zaidi
Maji kupwa hutotea baada ya maji kujaa yaani maji yanayokuja ufukweni yakitokea baharini. Nadhania dhanifu zinasema haya huja kubeba vilivyoko ufukweni vibaya na vizuri . lakini pia huja kurudisha/kutapika vibaya! Bahari haikai na uchafu lazima itautapika tuu..
Maji kujaa ndio yenye matendo hatari zaidi na kuna Wakati yanapokuja kupatika uchafu huwa na hasira sana na kusababisha madhara mengi ukiwepo vifo na unaribifu wa vitu.!
Okay hutuachia uchafu wetu lakini na vingine vizuri kama chumvi makombe na mazao bahari mengineyo.
Matendo haya baharini hutokea kila siku kwenye masaa 24
CHADEMA kwasasa ni maji kujaa.. Bahari hughadhibika kipindi hiki.. Waswahel husema bahari imechafukwa! Machafuko baharini si kila wakati huwa na madhara makubwa.. La hasha..!!!
CCM kwasasa ni maji kupwa.. Kumetulia tuli... Lakini hiki si kitendo cha muda wote... Maji kujaa yanakuja! Kwa style gani? Tuvute subra.. Ila kwa yale machafu ya uchaguzi.. You can guess!
CHADEMA inafunga mwaka kwa vuguvugu la kutoelewana kwenye uchaguzi wa mwenyekiti.. CCM itatufungulia mwaka kwa mipasuko ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa na maandalizi ya watia nia nafasi za ubunge na urais.
Kwenye mizania ya kutoelewana hali unatarajiwa kuwa mbaya sana kwa CCM kuliko ilivyo sasa kwa CHADEMA.