Kuna majina duniani ni kama yamepigwa marufuku sababu yametumika vibaya

Osama wapo wengi tu,
 
Mleta mada anaweza fanya utani ila hapo kenya walikimbiana Tanu so who knows
 
"Kunya"
Neno la kiarab lenye maana ya "Baba wa fulani"

Mfano Mohamed ana mtoto anaitwa Abdul, so ndugu, marafiki na jamaa badala ya kumuita Mohamed wanamuita Baba Abdul. Hili jina Baba Abdul ndiyo kunya la Mohamed.

Kunya inaweza tolewa toka jina la mtoto wako wa kwanza wa kiume au wa kike.
 
21&22 pin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…