Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Napenda wanavojua kuhudumia aiseeNdio nasikia unatupenda sana
Napenda wanavojua kuhudumia aiseeNdio nasikia unatupenda sana
Wanawaingiza watoto wao kuwa hwahuni flani tokea anazaliwaUkija Bongo huku kila nyumba lazm mtu kanyoa kama Kim Jong Un
mbn mwigulu silioni api kwny orodha21. CCM -Jina hili limepigwa marufuku na wazazi wengi wanaojitambua sababu unaweza kuwa mjinga au kukosa akili.
22.Amos makalla-Jina hili limepigwa marufuku maana alichelewi kuunguza masoko
Si ndo hapo? Hiyo 21 na 22 ni sahihi kabisambn mwigulu silioni api kwny orodha
Yupo Askofu Mkuu wa Jimbo kuu DSM ni Yuda, hii sijaikubari bado3. Judas – Katika baadhi ya nchi za Kikristo, jina hili linahusiana na Yuda Iskariote, aliyemsaliti Yesu, na hivyo linachukuliwa vibaya.
Hapa mboni wakina Adolf wapo wengi mfano mdogo Adolf Faustine Mkenda, nk1. Hitler – Jina hili limepigwa marufuku katika nchi kama Ujerumani na Austria kutokana na historia yake na Adolf Hitler.
Yaani mtoto akipewa jina hili la ccm, lazima huyo mtoto aanzishe chama cha majambazi wenzake na jamii itakuwa kwenye taharuki kubwa... Polisi lazima wajiandae kukabiliana nao kwa kutoa matamko hata kwa maandamano yao huko mitandaoni... kuna mtu alikuwa anaitwa ccm kijijini kwetu aliakisi tabia hizo na siku moja wanakijiji wakampigia yote na kumwondoa maisha... haya majina kwa kweli ni hatari sana. Rejea kaui ya IDA Odinga alipo toa tahadhari hiyo kwenye msiba wa mumewe- Raila Odingo.Kuna watu mnavituko sana aiseee