Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Ngoja nikuweke huku 🚮🚮🚮
Unawashwa washwa tuliaWanahamasisha machafuko. Yanachochea kila saa huko mitandaoni. Yanataman nchi ichafuke. Ng'oo tutayashughulikia. Na bado
Acha kupotosha watu kwani maandamano ndo machafuko noreform no electionWanahamasisha machafuko. Yanachochea kila saa huko mitandaoni. Yanataman nchi ichafuke. Ng'oo tutayashughulikia. Na bado
Kwahiyo ushauri wako ni kuwa waweke chakula cha kutosha ndani kabla ya kutoka tarehe 29/10?Wanahamasisha machafuko. Yanachochea kila saa huko mitandaoni. Yanataman nchi ichafuke. Ng'oo tutayashughulikia. Na bado
Hio ndiyo sababu inayofanya watake machafuko kwa vile nyie wenye nacho mmekula chenu na chao.Wanahamasisha machafuko. Yanachochea kila saa huko mitandaoni. Yanataman nchi ichafuke. Ng'oo tutayashughulikia. Na bado
Andika kiswahili. Hicho ulichoandika haki qualify kuitwa kiingereza.The leader of working dead, let her prepared for her construct nightmare
Ndio nishaandika we unaamua niniAndika kiswahili. Hicho ulichoandika haki qualify kuitwa kiingereza.