Kuna mambo 21 tu ya muungano lakini katiba inavunjwa waziwazi

Kuna mambo 21 tu ya muungano lakini katiba inavunjwa waziwazi

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano watanganyika wanatakiwa kuchukua ajira 79% na wazanzibar 21% tu kwenye secta zote zenye makubaliano ya kimuungano.

Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa wazanzibar wanachukua ajira mpaka kwenye halimashauri na zahanati za vijiji.

Tujiulize je Kuna watanganyika wangapi wanafanya kazi serikali za mitaa Zanzibar? Kama ilivyo kwa wazanzibar kujazwa kwenye sector zote bara?.
 

Attachments

Na hao makamu wa rais, waziri mkuu kwa kujali matumbo yao wanakaa kimya tu wanamuacha samuya afanye anavyojisikia!
It work as usual. Siku ccm ikipndolewa nchi hii ndio watu watagundua kuna misconduct nyingi sana nchi hii
 
hiyo ni hali ya kawaida sana mjanja akipatikana
 
Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa wazanzibar wanachukua ajira mpaka kwenye halimashauri na zahanati za vijiji.
Kuna waalimu wa shule za upili(secondary) wazanzibar wameajiriwa bara.
Yawezekana ajira zao ni kati ya hili usemalo.
Elimu yetu watanganyika inaenda kuwa kama ya Zanzibar. Duni kabisa, hao watu wavivu na ubinafsi, wabaguzi.
Wanaweza kuchagua watoto wa mlengo wao ule kiimani kwenye darasa na kuwafundisha kwa ziada au kuwasaidia kuliko wengine wazawa wa Tanganyika kwenye hilo darasa.
 
Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano watanganyika wanatakiwa kuchukua ajira 79% na wazanzibar 21% tu kwenye secta zote zenye makubaliano ya kimuungano.

Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa wazanzibar wanachukua ajira mpaka kwenye halimashauri na zahanati za vijiji.

Tujiulize je Kuna watanganyika wangapi wanafanya kazi serikali za mitaa Zanzibar? Kama ilivyo kwa wazanzibar kujazwa kwenye sector zote bara?.
Kuna hitajika elimu kubwa ya uraia kuhusu muungano. Hizo asilimia ni uwiano wa kwenye zile wizara za muungano tuu, lakini Wanzanzibari wana hakizingine zote. za Utanzania kama Watanzania wengine, Uzanzibari ni an added advantages. Tanganyika itahitaji wanaharakati wao

P
 
Back
Top Bottom