technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
It work as usual. Siku ccm ikipndolewa nchi hii ndio watu watagundua kuna misconduct nyingi sana nchi hiiNa hao makamu wa rais, waziri mkuu kwa kujali matumbo yao wanakaa kimya tu wanamuacha samuya afanye anavyojisikia!
Kuna waalimu wa shule za upili(secondary) wazanzibar wameajiriwa bara.Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa wazanzibar wanachukua ajira mpaka kwenye halimashauri na zahanati za vijiji.
Kuna hitajika elimu kubwa ya uraia kuhusu muungano. Hizo asilimia ni uwiano wa kwenye zile wizara za muungano tuu, lakini Wanzanzibari wana hakizingine zote. za Utanzania kama Watanzania wengine, Uzanzibari ni an added advantages. Tanganyika itahitaji wanaharakati waoKwa mujibu wa makubaliano ya muungano watanganyika wanatakiwa kuchukua ajira 79% na wazanzibar 21% tu kwenye secta zote zenye makubaliano ya kimuungano.
Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa wazanzibar wanachukua ajira mpaka kwenye halimashauri na zahanati za vijiji.
Tujiulize je Kuna watanganyika wangapi wanafanya kazi serikali za mitaa Zanzibar? Kama ilivyo kwa wazanzibar kujazwa kwenye sector zote bara?.
Haki za watanganyika he ziko wapi kwenye hati ya muungano?Kuna hitajika elimu kubwa ya uraia kuhusu muungano. Hizo asilimia ni uwiano wa kwenye zile wizara za muungano tuu, lakini Wanzanzibari wana hakizingine zote. za Utanzania kama Watanzania wengine, Uzanzibari ni an added advantages. Tanganyika itahitaji wanaharakati wao
P
Muungano ni kama ndoa, haki ni za mke tuu, mum,e hahitaji haki yeye jukumu lake ni kuwajibika kuihudumia ndoa hiyo.Haki za watanganyika he ziko wapi kwenye hati ya muungano?
KULUMBUSIMuungano ni kama ndoa, haki ni za mke tuu, mum,e hahitaji haki yeye jukumu lake ni kuwajibika kuihudumia ndoa hiyo.
P