KUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU

KUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
KUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU

1. Anakuna Nazi Ghetto
2.Anapika Chapati Za Kusukuma
3. Anapika Makande
4. Ameweka Midoli Na Kadi Kitandani
5. Ananunua Mkaa Gunia
6.kupika kwa kutumia mkaa
7. Kuchemsha maji ya kunywa[emoji23]
8. Kufua mashuka kila wiki
9. Kupika maharage
10.kudeki kwa kutumia dekio la tambara
11. Anafagio la chelewa

Ongeza mengine
 
hazard leo umeniangusha.....

huo utafiti ni batili kabisa... maana kila nikijitahidi kuweka uhusiano wa hivyo vitu na kuoa sipati jibu
 
KUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU

1. Anakuna Nazi Ghetto
2.Anapika Chapati Za Kusukuma
3. Anapika Makande
4. Ameweka Midoli Na Kadi Kitandani
5. Ananunua Mkaa Gunia
6.kupika kwa kutumia mkaa
7. Kuchemsha maji ya kunywa[emoji23]
8. Kufua mashuka kila wiki
9. Kupika maharage
10.kudeki kwa kutumia dekio la tambara
11. Anafagio la chelewa

Ongeza mengine
Buhahahahaha

Hali mbaya sana.....
 
Mwanaume anaye lia lia ovyo kama mwanamke badala ya kujikaza kiume, mwanaume mwenzetu wa aina hii nae ni ngumu sana kuoa,
 
Umeanza vizuri but kumalizia ni XX........!

Anakula chapati 2
 
Back
Top Bottom