Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Iko wazi kama anayaweza yote hayo hana haja ya kuowa..na kama alishapata mtoto ndio imetoka hiyoHizo sifa zinaingilia vipi uamuzi wa mtu kuoa?
Iko wazi kama anayaweza yote hayo hana haja ya kuowa..na kama alishapata mtoto ndio imetoka hiyo
Chit chat tu mkuu, nothing serious mzeebabahazard leo umeniangusha.....
huo utafiti ni batili kabisa... maana kila nikijitahidi kuweka uhusiano wa hivyo vitu na kuoa sipati jibu
BuhahahahahaKUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU
1. Anakuna Nazi Ghetto
2.Anapika Chapati Za Kusukuma
3. Anapika Makande
4. Ameweka Midoli Na Kadi Kitandani
5. Ananunua Mkaa Gunia
6.kupika kwa kutumia mkaa
7. Kuchemsha maji ya kunywa[emoji23]
8. Kufua mashuka kila wiki
9. Kupika maharage
10.kudeki kwa kutumia dekio la tambara
11. Anafagio la chelewa
Ongeza mengine
i know mkuu.... hata coment yangu ilikuwa hivyo tunapunguza mawazo tuChit chat tu mkuu, nothing serious mzeebaba
Ndio ndio huku tukifurahia safari larger ladha kamili sifa dhabitii know mkuu.... hata coment yangu ilikuwa hivyo tunapunguza mawazo tu
halafu sijui nan huwa anawatungiga tbl hzi slogan πππNdio ndio huku tukifurahia safari larger ladha kamili sifa dhabiti
and people always trust what they want to.. no matter what reality isPeople see what they want to see,. . and what people want to see, never has nothing to do with the truth.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha kuna kipindi nilikua nachemsha mchele bila kuosha aisee tumetoka mbali sanaKuwa na ungo, na kupepeta mchele kwenye ungo.