KUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU

wanawake wataolewa kwa macho tuu hapo.
 
kwaiyo tusipike wala tusifanye usafi kwakuwa tunataka kuoa nonsense
 
Iko wazi kama anayaweza yote hayo hana haja ya kuowa..na kama alishapata mtoto ndio imetoka hiyo
Unadhani wanaume tumeoa sababu ya hayo majukumu uliyoyataja?tunaoa ili kipiga mti
 
Washing machine ni laki 4 tu, why mtu asifue daily/weekly hayo mashuka.
Specifically akimaliza gem
 
[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha kuna kipindi nilikua nachemsha mchele bila kuosha aisee tumetoka mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiukweli nikiweza kufanya haya mwenyewe nioe kwann sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…