Kuna mambo haya....mawili

Kuna mambo haya....mawili

Kwenda jela haina shida
Ila kumuacha mke uraiani kuna mambo mawili akusubiri au aolewe na mtu mwingine
akikusubiri haina shida,
Ila akiolewa na mtu mwingine kuna mambo haya....mawili
amchukue mke tu au auchukue na mali zako
 
Ukiipenda hii chat haina shida ila usipoipenda kuna mambo haya mawili ....kuandika kuhusu kufoji vyeti au kutoandika usipoandika haina shida ila ukiandika kuna mambo haya mawili kuitwa central na bashite au kutoitwa na usipoitwa haina shida ila ukiitwa kuna mambo haya mawili kupewa tuhuma ya madawa au kutopewa tuhuma na usipopewa haina shida ila ukipewa kuna mambo haya mawili kupekuliwa nyumbani kwako au kutopekuliwa na usipopekuliwa haina shida ila ukipekuliwa kuna mambo haya mawiliiiii..............
 
Watu wakiamini haina shida,
Ila ukionyesha cheti kuna mambo haya....mawili
Huenda ulifoji cheti au kikawa ni chako

Kikiwa chako haina shida,
Ila kama ulifoji kuna mambo haya....mawili
Kwenda jela miaka saba na kumuacha mke uraiani
Kumwacha mke sio tatizo, Ila ukimaliza hiyo miaka kuna mambo haya.....mawili kumkuta mkeo wameshamuo masela au wamemzalisha... wasipomzalisha kuna mambo haya......mawili
 
2020 kutakuwa na mambo haya...mawili
Urudie kumchagua jpm au uchague upinzani,
Ukichagua upinzani haina shida,

Ukimchagua jpm kuna mambo haya...mawili
Uendelee kuisoma namba na usimpangie
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom