kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
soma vizuri mkuu na tenga muda wa kufikilia, hivi kweli unaweza kusimama mbele za watu na kujipiga kifuani huku umisema" mimi sina cha kupoteza hata nikifungwa au mimi sina cha kupoteza hata nikifa.......huoni kama kuna tatizo hapo