Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂

Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
1706862019645.jpg

Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂
Dharau
Ujuaji
Kukosa Heshima
Ubinafsi
Chuki/Genye
Unafki/Ufitinishaji
Majungu/Roho Mbaya
Najua huwezi kosa kimoja hapa jitahidi kupunguza sasa 😊
 
Mbna huyu manzi wa kule X

Halafu ongeza ubashiri umesahau
 
Back
Top Bottom