Kuna mambo ukifatilia kwenye usafi ni kama kinyume chake

Kuna mambo ukifatilia kwenye usafi ni kama kinyume chake

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hapa na zungumzia usafi wa kuoga na kutumia mafuta.

Ukiangalia kwa jicho la tatu yani una toa uchafu ulicho kitumia na uchafu wako kisha unajipaka uchafu.

Mafuta tunayopaka unakuta yame changanywa na maziwa, mafuta yametoka vyanzo vya leo tuna tumia kwenye vyombo vya moto, wanyama, matunda.

Swali kifikra unaweza ukachukua maziwa hapo ukajipaka kama utakubari.
 
Hii ni pseudo-intellectual talk.

Maziwa, miti na matunda vikichakatwa vinakuwa bidhaa mahsusi kwa ngozi siyo uchafu.
Chanzo cha mafuta siyo hoja, mchakato wa kuandaa ndio hoja.

Umewahi kukaa hata mwezi mmoja bila kupaka mafuta na ngozi yako haiukauka au haikupasuka.

Kuyaita mafuta uchafu ni kuchanganya falsafa za kubuni na sayansi ya msingi.
Unacho paswa kukiosha hapa si ngozi.
Ni hizo fikra.
 
Kwa hiyo fikra uweza kuziaminisha kilichopo kinaweza kutumika.
 
Hatuogi hili kutoa uchafu mzee, huwezi kutoa uchafu kwenye mwili. Bali tunaoga hili tujisikie comfortable na fresh ukiamka huwezi kuvaa nguo na kutoka hutakuwa comfotable hivyo tunaoga.

Mafuta hata kama uchafu kama tukipata yanaongeza kujisikia Comfotable ndio lengo limetimia.

NB: Hygiene sio lengo letu la kwanza kuoga
 
Hapa na zungumzia usafi wa kuoga na kutumia mafuta.

Ukiangalia kwa jicho la tatu yani una toa uchafu ulicho kitumia na uchafu wako kisha unajipaka uchafu.

Mafuta tunayopaka unakuta yame changanywa na maziwa,mafuta yametoka vyanzo vya leo tuna tumia kwenye vyombo vya moto,wanyama,matunda.

Swali kifikra unaweza ukachukua maziwa hapo ukajipaka kama utakubari.
Ila mafuta si kwa ajili ya usafi ni kwa ajili ya kulainisha ngozi nk
 
Back
Top Bottom