Kwa hiyo fikra uweza kuziaminisha kilichopo kinaweza kutumika.Hii ni pseudo-intellectual talk.
Maziwa, miti na matunda vikichakatwa vinakuwa bidhaa mahsusi kwa ngozi siyo uchafu.
Chanzo cha mafuta siyo hoja, mchakato wa kuandaa ndio hoja.
Umewahi kukaa hata mwezi mmoja bila kupaka mafuta na ngozi yako haiukauka au haikupasuka.
Kuyaita mafuta uchafu ni kuchanganya falsafa za kubuni na sayansi ya msingi.
Unacho paswa kukiosha hapa si ngozi.
Ni hizo fikra.
Kweli wewe ilitakiwa tarh 29 wakutembeze tu!! Maana hii IQ yako ni ndogo mno.Muulize mtoto wa samuya akisema mujiajiri nyie wasomi
Hilo ni swali au statement?Kwa hiyo fikra uweza kuziaminisha kilichopo kinaweza kutumika.
Ila mafuta si kwa ajili ya usafi ni kwa ajili ya kulainisha ngozi nkHapa na zungumzia usafi wa kuoga na kutumia mafuta.
Ukiangalia kwa jicho la tatu yani una toa uchafu ulicho kitumia na uchafu wako kisha unajipaka uchafu.
Mafuta tunayopaka unakuta yame changanywa na maziwa,mafuta yametoka vyanzo vya leo tuna tumia kwenye vyombo vya moto,wanyama,matunda.
Swali kifikra unaweza ukachukua maziwa hapo ukajipaka kama utakubari.