Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Hamna mambo ya kufanya huko ccm mpaka uje kuuliza mambo ya chama kingine?Jikite kwenye hoja, kwanini amkujenga ofisi na pesa mlipata
Au unawashwawashwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mambo ya kufanya huko ccm mpaka uje kuuliza mambo ya chama kingine?Jikite kwenye hoja, kwanini amkujenga ofisi na pesa mlipata
Hakuna jungu hapo mlipokuwa mnapata mabilioni Ata ujenzi wa makao makuu ulimishinda hivi ni kwanini?Sasa kama kuandika kwenyewe hujui tutakuelewaje ? Majungu yanapaswa kuandikwa vizuri ili tusome tuelewe labda twaweza kuingia mkenge
Ipo na mbunge mmoja wa dawaHuu ujinga wenu alikuwa nao JPM na amekufa nao... Chadema Ipo
Leo ndio unajua hilo, mbona ya ccm kutwa mnayasema, Acha kukimbia hapa kwanini mmeshindwa kujenga Ata makao makuu wakati mlikuwa mnapata mabilioni?Hamna mambo ya kufanya huko ccm mpaka uje kuuliza mambo ya chama kingine?
Au unawashwawashwa!
Bado hii sio sababu ya chadema kutowajibika, ebu tuambie kwanini mmeshindwa kujenga Ata makao makuu wakati pesa mlikuwa mnapataMada maelezo mengi lakini yalitakiwa yaandikwe kwa sentence moja tu,kabla hujanyoosha kidole kwa upande wa pili jiulize chama dola kimeifanyia nini nchi baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya 50yrs?hadi leo all social services zina matatizo makubwa
Ukiwa na akili ndogo au uwendawazimu, hata mtu akapita amevaa vizuri unaweza kuona ni jambo la ajabu.Leo hii mwenyekiti wa maisha wa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ameanza kuzunguka nchi nzima eti kuimiza ujenzi wa ofisi za chama katika wilaya, makata na matawi, wakati ofisi ya makao makuu wanakaa katika kaofisi ka kupanga ka aibu pale Ufipa.
Mambo ya ajabu sana.
Kwa faida ya wasio fahamu, wakati chama kikiwa chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema ilikuwa inapokea rukuzu ya milioni 300 na ushee hivi, hivyo kwa mwaka chama kilikuwa kinapata kama bilioni 3,600,000,000/-, Cha ajabu sasa chama kilikuwa akilipi hata katibu yeyote wa ngazi yeyote zaidi ya katibu mkuu. Kwa jimbo lililokuwa na mwakilishi yaani mbunge ndiyo kulikuwa na ofisi ambayo mbunge ndiyo alikuwa anaingia mkataba na mwenyenyumba, ofisi za matawi na kata ambazo hazikuwa na uwakiishi ni wanachama wenyewe walikuwa wanajichangisha na hawakuwai kupata msaada wowote kutoka katika fedha ya ruzuku. Viongozi wengi waliandika barua makao makuu hili kuomba fedha kwa ajiri ya pango wakisema tulianzisha sasa kodi imeisha tunaomba msaada, hawakupata. Tena kodi nyingi zilikuwa elfu 20,000 na 30,000 kwa mwezi lakini chama kilichomoa. Walipokuja makandamanda waandamizi walisema mwanachadema anatakiwa kukibeba chama moyoni mwake. Wakati huo tulikuwa tunaita jasho na damu la makamanda kuhakikisha chama kinasonga mbele bila aibu.
Pamoja na kuwa chama kilikuwa kinauziwa fifaa vya uenezi kama bendera na vifaa vingine unaweza jiuliza ruzuku ilikuwa inafanya kazi gani? ila sisi makamanda tulikuwa tunajua tunafanya jasho na damu.
Kwa msio fahamu mnaweza msielewe chama kilikuwaje katika jamii? chama kilipokelewa kwa mikono na mikuu yote, utashangaa kusikia wakati ule bei ya kadi ya mwanachama ilikuwa sh.1500/- tu, lakini wanachama wapya maitaji yalikuwa makubwa mno hadi kadi ilikuwa inauzwa sh. 3000/- hapa inamaana chama kilipendwa na kukubalika kwa 100%.(wakati wa Dr. Slaa)
Mikutano ya Operasheni Sangara na M4C ilishangaza wanachama wachache waliobaatika kujua kuwa chama kilikuwa kinakopeshwa pesa za mikutano hiyo. Yaani hapa inamaana chama na ruzuku ni watu wawili tofauti. Kama kinafanya mikutano kilipe pesa zote iliwemo magari, petrol, posho na vingine. Ilikuwa ajabu sana. Kama kuna kamanda anabisha aje kanisani nipo.
Leo wamekuja na Chadema Digitali ya ada ya sh. 2500/- kila mwanachama na wanakadiria kupata milioni 5,000,000/= kwa mwaka sasa kama walikuwa wanapata bilioni 3,600.000,000/= na ushee na ilikuwa analogi sembuse hii milioni 5 ya digitali ndiyo itajenga ofisi? na ikumbukwe kuwa kile kilikuwa kipindi cha Jakaya watu walikuwa na manoti mfukoni, poleni sana makamanda kwa imani kubwa mlioweka kwa Chadema ni sawa na huku kanisani kama waumini wangejuwa namna tunavyotumia michango yao ya sadaka wange acha kuleta sadaka. Kwani kunawaumini wengine wanaamini bado kuwa sisi wachungaji tunapeleka pesa kwa Mungu.
Mtoto wa mchungaji.
Tatizo ujinga hauishi kwa kubadilika kwa awamu. Wajinga, wanafiki, wapiga majungu wa awamu ya 5, ambayo kimsingi, ilikuwa awamu ya kuwahadaa wenye ubongo mdogo, hata baada ya kuingia awamu nyingine, watabakia kama walivyokuwa, ndiyo maana watu wa aina ya huyu mleta mada bado wapo na ujinga na unafiki ule ule.Maneno yote hayo ya Nini mkuu, kumbuka mda wa kujipendekeza umeisha now tupo awamu sita mkuu pole, na za ukuu wa wilaya napo nasikia haupo mkuu
CCM haijawahi kujenga otisi hata moja. Majengo yote unayoyaina, yanayoitwa majengo ya chama, yalijengwa kwa michango ya wananchi wote, na wakati mwingine michango hiyo ilibandikizwa kwenye bei ya soda. Waliokuwepo wakati wa Mwalimu wanajua.Hivi kwenye swala la ruzuku chama kinachopata ruzuku ni chadema pekee? Mbona vyama vingne hatuoni Mambo ya ruzuku yakiongelewa? Hayo majengo unayoona ya ofici za ccm asilimia kubwa ni majengo ya serikali yaliyopakwa rangi ya chama...Cha ajabu kila mtu anataka kujua matumiz ya ruzuku za chadema tu mbona hatuulizi cuf,ccm na wengine?
Kabisa bwashee!Pamoja na yote ukweli ni kuwa Chadema ni brand kubwa!
Nani atakulipa buku saba?Leo hii mwenyekiti wa maisha wa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ameanza kuzunguka nchi nzima eti kuimiza ujenzi wa ofisi za chama katika wilaya, makata na matawi, wakati ofisi ya makao makuu wanakaa katika kaofisi ka kupanga ka aibu pale Ufipa.
Mambo ya ajabu sana.
Kwa faida ya wasio fahamu, wakati chama kikiwa chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema ilikuwa inapokea rukuzu ya milioni 300 na ushee hivi, hivyo kwa mwaka chama kilikuwa kinapata kama bilioni 3,600,000,000/-, Cha ajabu sasa chama kilikuwa akilipi hata katibu yeyote wa ngazi yeyote zaidi ya katibu mkuu. Kwa jimbo lililokuwa na mwakilishi yaani mbunge ndiyo kulikuwa na ofisi ambayo mbunge ndiyo alikuwa anaingia mkataba na mwenyenyumba, ofisi za matawi na kata ambazo hazikuwa na uwakiishi ni wanachama wenyewe walikuwa wanajichangisha na hawakuwai kupata msaada wowote kutoka katika fedha ya ruzuku. Viongozi wengi waliandika barua makao makuu hili kuomba fedha kwa ajiri ya pango wakisema tulianzisha sasa kodi imeisha tunaomba msaada, hawakupata. Tena kodi nyingi zilikuwa elfu 20,000 na 30,000 kwa mwezi lakini chama kilichomoa. Walipokuja makandamanda waandamizi walisema mwanachadema anatakiwa kukibeba chama moyoni mwake. Wakati huo tulikuwa tunaita jasho na damu la makamanda kuhakikisha chama kinasonga mbele bila aibu.
Pamoja na kuwa chama kilikuwa kinauziwa fifaa vya uenezi kama bendera na vifaa vingine unaweza jiuliza ruzuku ilikuwa inafanya kazi gani? ila sisi makamanda tulikuwa tunajua tunafanya jasho na damu.
Kwa msio fahamu mnaweza msielewe chama kilikuwaje katika jamii? chama kilipokelewa kwa mikono na mikuu yote, utashangaa kusikia wakati ule bei ya kadi ya mwanachama ilikuwa sh.1500/- tu, lakini wanachama wapya maitaji yalikuwa makubwa mno hadi kadi ilikuwa inauzwa sh. 3000/- hapa inamaana chama kilipendwa na kukubalika kwa 100%.(wakati wa Dr. Slaa)
Mikutano ya Operasheni Sangara na M4C ilishangaza wanachama wachache waliobaatika kujua kuwa chama kilikuwa kinakopeshwa pesa za mikutano hiyo. Yaani hapa inamaana chama na ruzuku ni watu wawili tofauti. Kama kinafanya mikutano kilipe pesa zote iliwemo magari, petrol, posho na vingine. Ilikuwa ajabu sana. Kama kuna kamanda anabisha aje kanisani nipo.
Leo wamekuja na Chadema Digitali ya ada ya sh. 2500/- kila mwanachama na wanakadiria kupata milioni 5,000,000/= kwa mwaka sasa kama walikuwa wanapata bilioni 3,600.000,000/= na ushee na ilikuwa analogi sembuse hii milioni 5 ya digitali ndiyo itajenga ofisi? na ikumbukwe kuwa kile kilikuwa kipindi cha Jakaya watu walikuwa na manoti mfukoni, poleni sana makamanda kwa imani kubwa mlioweka kwa Chadema ni sawa na huku kanisani kama waumini wangejuwa namna tunavyotumia michango yao ya sadaka wange acha kuleta sadaka. Kwani kunawaumini wengine wanaamini bado kuwa sisi wachungaji tunapeleka pesa kwa Mungu.
Mtoto wa mchungaji.
Kwenye mitandaoPamoja na yote ukweli ni kuwa Chadema ni brand kubwa!
Ndugu kuna wajuba same hack account yako,au mahaba yako kwa CCM yetu yamekoma alifariki Jiwe.Pamoja na yote ukweli ni kuwa Chadema ni brand kubwa!
Wewe na genge lenu la Lumumba si mlisema CDM ishajifika, sasa unahangaika nini hapa ?Leo hii mwenyekiti wa maisha wa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ameanza kuzunguka nchi nzima eti kuimiza ujenzi wa ofisi za chama katika wilaya, makata na matawi, wakati ofisi ya makao makuu wanakaa katika kaofisi ka kupanga ka aibu pale Ufipa.
Mambo ya ajabu sana.
Kwa faida ya wasio fahamu, wakati chama kikiwa chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema ilikuwa inapokea rukuzu ya milioni 300 na ushee hivi, hivyo kwa mwaka chama kilikuwa kinapata kama bilioni 3,600,000,000/-, Cha ajabu sasa chama kilikuwa akilipi hata katibu yeyote wa ngazi yeyote zaidi ya katibu mkuu. Kwa jimbo lililokuwa na mwakilishi yaani mbunge ndiyo kulikuwa na ofisi ambayo mbunge ndiyo alikuwa anaingia mkataba na mwenyenyumba, ofisi za matawi na kata ambazo hazikuwa na uwakiishi ni wanachama wenyewe walikuwa wanajichangisha na hawakuwai kupata msaada wowote kutoka katika fedha ya ruzuku. Viongozi wengi waliandika barua makao makuu hili kuomba fedha kwa ajiri ya pango wakisema tulianzisha sasa kodi imeisha tunaomba msaada, hawakupata. Tena kodi nyingi zilikuwa elfu 20,000 na 30,000 kwa mwezi lakini chama kilichomoa. Walipokuja makandamanda waandamizi walisema mwanachadema anatakiwa kukibeba chama moyoni mwake. Wakati huo tulikuwa tunaita jasho na damu la makamanda kuhakikisha chama kinasonga mbele bila aibu.
Pamoja na kuwa chama kilikuwa kinauziwa fifaa vya uenezi kama bendera na vifaa vingine unaweza jiuliza ruzuku ilikuwa inafanya kazi gani? ila sisi makamanda tulikuwa tunajua tunafanya jasho na damu.
Kwa msio fahamu mnaweza msielewe chama kilikuwaje katika jamii? chama kilipokelewa kwa mikono na mikuu yote, utashangaa kusikia wakati ule bei ya kadi ya mwanachama ilikuwa sh.1500/- tu, lakini wanachama wapya maitaji yalikuwa makubwa mno hadi kadi ilikuwa inauzwa sh. 3000/- hapa inamaana chama kilipendwa na kukubalika kwa 100%.(wakati wa Dr. Slaa)
Mikutano ya Operasheni Sangara na M4C ilishangaza wanachama wachache waliobaatika kujua kuwa chama kilikuwa kinakopeshwa pesa za mikutano hiyo. Yaani hapa inamaana chama na ruzuku ni watu wawili tofauti. Kama kinafanya mikutano kilipe pesa zote iliwemo magari, petrol, posho na vingine. Ilikuwa ajabu sana. Kama kuna kamanda anabisha aje kanisani nipo.
Leo wamekuja na Chadema Digitali ya ada ya sh. 2500/- kila mwanachama na wanakadiria kupata milioni 5,000,000/= kwa mwaka sasa kama walikuwa wanapata bilioni 3,600.000,000/= na ushee na ilikuwa analogi sembuse hii milioni 5 ya digitali ndiyo itajenga ofisi? na ikumbukwe kuwa kile kilikuwa kipindi cha Jakaya watu walikuwa na manoti mfukoni, poleni sana makamanda kwa imani kubwa mlioweka kwa Chadema ni sawa na huku kanisani kama waumini wangejuwa namna tunavyotumia michango yao ya sadaka wange acha kuleta sadaka. Kwani kunawaumini wengine wanaamini bado kuwa sisi wachungaji tunapeleka pesa kwa Mungu.
Mtoto wa mchungaji.
Mkuu kweli hapa umeongea ukweli mchungu,nakumbuka tulipoenda ku jinadi kwa wajumbe baadhi ya wagombea walikuwa na nia za kujenga na kukarabati Ofisi zilizo katika matawi na majimbo.Wakati CHADEMA wanapata milioni 300 kwa mwezi, CCM ilikuwa inapata bilioni ngapi kwa mwezi? CCM imefanya nini mpaka na bado inaendelea kupata na ofisi wanatumia zilezile zilizokuwa za chama kimoja? pia mafuta na posho ziara zote za CCM mafuta yanatoka kwa ma-DED. Mpuuzi wewe, CCM wakitaka kujenga kitu wanachangisha wakuu wa idara na wafanyabiashara kwa nguvu.
ha ha ha - aisee ni kweli nimeanini kumbe kufiwa ni kubaya eee, jamaa wanaweweseka hatari - mara wamgeukie maza, mara wamgeukie Mbowe - ni kama madish yameyumba vile - signal hamna.Watoto wa marehemu mnateseka sana
Wewe ndo mpuuzi kabisa, tunataka tupate chama cha siasa mbadala ili tuitoe CCM madarakani lkn kama vyama vyenyewe ndo hivi vyenye muundo wa CCM, kuna haja gani ya kuvipa nchi?Wakati CHADEMA wanapata milioni 300 kwa mwezi, CCM ilikuwa inapata bilioni ngapi kwa mwezi? CCM imefanya nini mpaka na bado inaendelea kupata na ofisi wanatumia zilezile zilizokuwa za chama kimoja? pia mafuta na posho ziara zote za CCM mafuta yanatoka kwa ma-DED. Mpuuzi wewe, CCM wakitaka kujenga kitu wanachangisha wakuu wa idara na wafanyabiashara kwa nguvu.
Sasa mtoto wa mchungaji siukamsaidie mzazi wall kuchunga kondoo,kazi za wengine waachie kwani zipo nje ya uwezo wako.Leo hii mwenyekiti wa maisha wa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ameanza kuzunguka nchi nzima eti kuimiza ujenzi wa ofisi za chama katika wilaya, makata na matawi, wakati ofisi ya makao makuu wanakaa katika kaofisi ka kupanga ka aibu pale Ufipa.