Kuna mambo ya ajabu sana CHADEMA

Sijaelewa unataka kusemaje, sadaka zimepungua? SGR mmeshindwa kujenga? au madege hayanunuliki tena kisa Chadema? Wacha wanaotaka kutoa watoe, na tunajenga ofisi nchi nzima kwa nguvu zetu
 
Hizo tarakimu zako zinatisha. Hivi unajua shilingi bilioni 3,600,000,000 ni Sawa na shilingi 3,600,000,000,000,000,000. Usikurupuke, rejea tena kwenye mpakato wako utuletee tarakimu sahihi.
 
ha ha ha - aisee ni kweli nimeanini kumbe kufiwa ni kubaya eee, jamaa wanaweweseka hatari - mara wamgeukie maza, mara wamgeukie Mbowe - ni kama madish yameyumba vile - signal hamna.
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake
 
Achana na CHADEMA, CHADEMA iko bize kujenga ofisi mioyoni mwa watu, Mwendazake aliichukulia poa Chadema akidai ataiua alipoona imeshindikana akaishia kupindua meza na yeye kufikwa na hilo chambo lake,tusipangiane cha kufanya kwani labda nikuulize kwani ile project ya manunuzi ya madiwani na wabunge imeishia wapi??? la pili hivi kwanini Bashiru alitolewa pale Ikulu na kupekwa bungeni. Ukumbuke pia kuwa mbio za mwenge zina bajeti yake lakini kwa nini wafanyabiashara na wafanyakazi wanachangishwa kwa nguvu???usirushe mawe huku unajua nyumba yako ni ya vioo akili za mataga hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…