Kuna mambo yanayoendelea duniani yanaweza kuwaathiri watu hata kama hayafanyiki kwenye nchi yao moja kwa moja.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana.

Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana.

Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga.

Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka.

Ilipoingia vita vya urusi na ukrain ,Imevunja mambo mengi na tajiri wa ukrain.

Siasa za CCM mpaka October 29 zimefanya wawekezaji kuona nchi yangu iran ya mbagara.

Sasa leo hii vita ya iran na USA yani nchi ambazo tunategemea zinatupeleka kwenye kupanda mafuta tushindwe kupeleka bidhaa zetu mikoani.
 
Si wahenga walisema dunia ni kijiji. Kuwa tunategemeana. Unajikwaa kidole maumimivu mpaka kwenye kichwa. We hushangai? Unaumwa kichwa dawa inamezwa tumboni....

Ndio muunganiko huo wa dunia.
 
Back
Top Bottom