Sina muda na zero brain mimindo umpeleke akanyooshwe huoni kapinda au humpendi mwenzako
Ntajie yangu wewe utakua unatumia laptop mana sikuoniHilo hata mimi nimelishangaa leo!!
Poa mkuuHii iphone 7 yangu ikiandika natumia tecno hapo chin naivunja leo
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Msalimie bashiteNshaipa dawa
Sent from koromije using bashite
we unadhani imeingiaje [emoji38]Haya maksudi sasa hiyo nokia tochi imeingiaje humu?
Usiwe hivyo umaana wa mtu haubadilishwi ki hivyoKuna mtu nilikuwa namuona wa maana kumbe anatumia tecno [emoji23]
kichaka cha tecnoTecno mmepatikana leo [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Nimeongea kiutaniUsiwe hivyo umaana wa mtu haubadilishwi ki hivyo
Kuna siku nilikuona unatumia sijui tecno gani vile!!!Ntajie yangu wewe utakua unatumia laptop mana sikuoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msalimie bashite
Nime shangaa kwakweliKwahiyo kumbe umaana wa mtu unapungua kwa kutumia tecno!!!
Hii simu yako mbona sijaijua swahibaa[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app