Sijawai sizani kama ntatumia cm za line 2Kuna siku nilikuona unatumia sijui tecno gani vile!!!
MmmmHaahaaaa. Tecno katika ubora wake ndio zimetawala hapa. Ukiangalia vizuri wanaotumia JF Mobile App ndio kuna hiyo signatureu
Huo utakua utani wa ngumi flesh kama hukumaanisha pamoja sanaNimeongea kiutani
inavutia[emoji4] [emoji4]Yangu niya blue hii hapa..[emoji116]
View attachment 538731
Imeingizwa hiyo ntajie yanguwe unadhani imeingiaje [emoji38]
anhaaa..sawa!Duh!!!!! Hupajui PM? PM NI PAMOJA MIMINAWE
Sent from IPhone 9 using JamiiForums
Wacha we!! Haya nami ninunulie basi ya line moja!!!Sijawai sizani kama ntatumia cm za line 2
Nambie leo mimi natumia ipi?
nyekundu????Hapana, yangu inarangi ya upendo...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
umeona?Nacoment makusudi niione
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Mhhhh.....inavutia[emoji4] [emoji4]
yako inaonesha itel[emoji18] [emoji18] [emoji18]Imeingizwa hiyo ntajie yangu
Ningeona kama unatumia tecno ningekugaia ila nahisi umezidi wewe unatumia pcWacha we!! Haya nami ninunulie basi ya line moja!!!
Ingekuwa inaonyesha hata wewe ungeona.
atakuwa ana mimba changa...Mhhhh.....
Mbona ile siku nilipo itoa ili nichach kwenye bus, yule mdada alikua anaiangalia kama anapata kichefchefu....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ni Gest (Guest House)anhaaa..sawa!
ni baa au mgahawa?
[emoji109] [emoji109]Ni Gest (Guest House)
Sent from IPhone 9 using JamiiForums