Kuna maonesho ya simu leo?

Kuna maonesho ya simu leo?

ina rangi ya kijani pia??
Yangu niya blue hii hapa..[emoji116]
download.jpg
 
Wacha we!! Haya nami ninunulie basi ya line moja!!!
Ingekuwa inaonyesha hata wewe ungeona.
Ningeona kama unatumia tecno ningekugaia ila nahisi umezidi wewe unatumia pc
 
Mhhhh.....
Mbona ile siku nilipo itoa ili nichach kwenye bus, yule mdada alikua anaiangalia kama anapata kichefchefu....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
atakuwa ana mimba changa...
ila tangu uinunue enzi zile uliwah japo kuifuta au unaisunda kwenye chupi kuogopa isiibiwe?
 
Back
Top Bottom