Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Mbona kila mtu leo kwenye comment yake chini kuna signature ya simu anayotumia?
Kulikoni?
Kulikoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nokia tochiAggy, unatumia simu gani?
Mkuu usiogope na w3 kako....unaweza ukahide kwenye settingDah kwa sm yangu hii naogopa hata kucomment
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanataka kutudhalilisha tunaotumia tecno
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
comment tu mkuu..[emoji23] [emoji23]Dah kwa sm yangu hii naogopa hata kucomment
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]Tecno mmepatikana leo [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
hakuna iphone hata mmoja[emoji23] [emoji23]Haahaaaa. Tecno katika ubora wake ndio zimetawala hapa. Ukiangalia vizuri wanaotumia JF Mobile App ndio kuna hiyo signatureu
unamuelekeza mwenzio akati we mwenyewe walewale[emoji23]Mkuu usiogope na w3 kako....unaweza ukahide kwenye setting
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app