Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini umevutiwa ndio maana ukaja huku[emoji16] [emoji16]Mkuu umeona screenshot ya hiyo post hapo juu? Uliza ni ios au android[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli mkuu,wana tuumbua na Y2 zetuWameseti vibaya signature.
Jamani mset vizuri signature zenu iwe Customer au option nyingine na wala sio ile ya kuonesha aina ya vimeo vyenu
Duuh..kumbe imeonekana[emoji44][emoji44][emoji44]Ni kweli mkuu,wana tuumbua na Y2 zetu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
iko wapii[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Afu nakutafuta ujue...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sent from my nokia torch using jamii forum application
Kumbe!? Afadhali asee[emoji5]Haahaaaa. Tecno katika ubora wake ndio zimetawala hapa. Ukiangalia vizuri wanaotumia JF Mobile App ndio kuna hiyo signatureu
niirudishe??Ahaha umeondoa signature
[emoji23] [emoji23] dell laptopHaya maybe huku hawataniona
Sent from my Dell Laptop using Jamii Jorums mobile app
niirudishe??
nipo nimejaa tele huku[emoji23]Afu nakutafuta ujue...
we yako iko wapi[emoji10]Ndio
Na unajua napokutafutia....nipo nimejaa tele huku[emoji23]