Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Usipoenjoy upendo wa mwanzo ule bas jua imekula kwako,yaan saivi ukikubaliana na MTU bas mtumie ipasavyo,kama ulimpendea lips bas nyonya sana,kama kitumbua bas kula sanaa,kama tango bas litumie sana kwa wakati huo coz baada ya muda litakuwa si lako tena