General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MangiBinafsi sioni tatizo kwa rafiki yako,
Naliona tatizo kwakooo..
Kama anankukera kwa tabia yake kwa kuirudia kila mara nilitegemea urafiki ungekwishaaa...
Lkn kama anakukera na bado upo nae huku unalalamika, basi tatizo lipo kwakooo.....
Pole sanaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Shuniee,Mangi
Hahhahaha habari nzuri sana za wewe mangi mm nakufahamu vizuri sana sina ugeni na weweHabari Shuniee,
Mangi hata kama mama ake akikosea humwambia Mama hapa umekosea!!
Mangi ni mjinga sanaa....