Kuna mashabiki huwa siwaelewi

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
Nimeikuta hii mahala fulani, nikamkumbuka mzee mmoja kule Masasi, Mtwara. Huyo mzee Yanga ikicheza na Simba huondoka kijijini kwao na kushinda shamba mpaka usiku ndipo anarudi kijijini, na kesho alfajiri anarudi tena shamba na kurudi usiku. Siku ya tatu ndo ataanza kupeleleza ili ajue kama timu yake Yanga ilishinda au la.
 
Ushabiki maandazi,sema kila mtu ana taka kuonja mke wa mwenzie hakuna namna
Kwanini wasiweke bondi tigo zao??
 
Ila Yanga leo tutalala na viatu. Ila nina swali!! Kama simba wana huo mpira ilikuwaje kwa mbao na ndanda?
 
Mi kama shabiki sihitaji kulala na viatu. Ila Yondani, yule mtoto Godfrey Paulo, Shaibu na Kakolanya hao nina hakika wamelala na viatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…