Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Nimeikuta hii mahala fulani, nikamkumbuka mzee mmoja kule Masasi, Mtwara. Huyo mzee Yanga ikicheza na Simba huondoka kijijini kwao na kushinda shamba mpaka usiku ndipo anarudi kijijini, na kesho alfajiri anarudi tena shamba na kurudi usiku. Siku ya tatu ndo ataanza kupeleleza ili ajue kama timu yake Yanga ilishinda au la.