NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Huwa nafikilia sana mtu kashiba chipumu na kitambi chake Cha kifaduro unakuta ana shupaza shingo na kusema kuwa Yanga inanunua mechi.
Tazama mechi ya Yanga vs Dodoma mpira uliochezwa.
Tazama mechi ya Singida vs Yanga mpira uliochezwa dakika za mwisho kabisa Baada ya timu kuvuja ndiyo matokeo yanapatikana.
Hivi huwa hamuangalii mpira??
Tukubali tu Yanga ni Bora sana kuliko Makolo wanavyoishusha na moyoni ukweli mnao.