Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My point is walisema watatoa feedback soon, Kama umepata au umekosa Ni haki yako kujua feedback ya applicationApplication kuwa ndefu sio kigezo cha mtu kuitwa kwa interview.
[emoji2][emoji2][emoji2]uliperform poorKuna mashirika safi sana,kuna moja nilifanya nalo kazi yaani usafiri wa uhakika,mess vyakula vya kila aina ni wewe tu spidi yako,mwisho wa mwezi sasa marupu rupu kibao,wakati mwingine wanatoa bonus ya hadi 100% ya mshahara wako[emoji8][emoji8][emoji8]!! Tatizo redundancy [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Pole mno, lilikuwa la Wazungu?Kuna mashirika safi sana,kuna moja nilifanya nalo kazi yaani usafiri wa uhakika,mess vyakula vya kila aina ni wewe tu spidi yako,mwisho wa mwezi sasa marupu rupu kibao,wakati mwingine wanatoa bonus ya hadi 100% ya mshahara wako[emoji8][emoji8][emoji8]!! Tatizo redundancy [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Kama umekosa ukaambiwa umekosa inakuongezea nn? Endelea kupambana na mambo yako mengine usiwaze hilo. MUNGU atafungua milango ya kipato tu.My point is walisema watatoa feedback soon, Kama umepata au umekosa Ni haki yako kujua feedback ya application
SawaKama umekosa ukaambiwa umekosa inakuongezea nn? Endelea kupambana na mambo yako mengine usiwaze hilo. MUNGU atafungua milango ya kipato tu.
Omba Mungu upate hiyo kazi mkuu.Kuna NGO nilifanya nao first interview last week kwa njia ya zoom meeting,sasa juzi wakanipigia kuwa leo niende kwa second interview pale ofisini kwao mikocheni.tulikua mtu kama 8 au 7 hivi kama sikosei.tumepiga interview mpaka saa 7 mchana,sasa kila msailiwa alikua akitoka kwenye chumba cha usaili anapewa 50,000/=wanakuambia it is for transport cost+lunch.
Aisee wale jamaa atakaebahatika kupata hiyo kazi atakua kasahau shida za ulimwengu kwa muda.kwanza wenyewe hawana cha kuficha kuhusu mambo ya salary,pale pale kwenye interview wametuambia our budget for this position is 2,857,000/= PM.
Kwa kweli nimewapenda bure.
haka ka 50k walikonipa ngoja nikapooze koo langu hapo kwa Mama pili.
Wazungu wana utu sana for sure
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hiyo staili huwaga inani disappoint sana,unakuta mmejipanga kama ombaombaUmeona khee Kuna sehemu raha tu unajihisi confidence so huku mnaambiwa kasubirini chini ya tent wengine kweny mawe unapoteza confidence mapema nakumbuka pale kivukoni utumishi.
Enabel.. Ni wanetherland?Bora ilo shirika, nimeapply Enabel, sahivi week mbili zimepita,toka deadline lakini kimya Hadi leo