Kuna mashirika yako vizuri mpaka raha yani

Kuna mashirika safi sana,kuna moja nilifanya nalo kazi yaani usafiri wa uhakika,mess vyakula vya kila aina ni wewe tu spidi yako,mwisho wa mwezi sasa marupu rupu kibao,wakati mwingine wanatoa bonus ya hadi 100% ya mshahara wako[emoji8][emoji8][emoji8]!! Tatizo redundancy [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Application kuwa ndefu sio kigezo cha mtu kuitwa kwa interview.
My point is walisema watatoa feedback soon, Kama umepata au umekosa Ni haki yako kujua feedback ya application
 
[emoji2][emoji2][emoji2]uliperform poor
 
Pole mno, lilikuwa la Wazungu?
 
My point is walisema watatoa feedback soon, Kama umepata au umekosa Ni haki yako kujua feedback ya application
Kama umekosa ukaambiwa umekosa inakuongezea nn? Endelea kupambana na mambo yako mengine usiwaze hilo. MUNGU atafungua milango ya kipato tu.
 
Omba Mungu upate hiyo kazi mkuu.
Achilia mbali huo mshahara pia CV yako itapanda kwa kiwango cha mbali sana.
Yaani kwa mfano ukipewa contract ya 2 years hata wasiporenew huna wasiwasi una uhakika wa kupata kitengo sehemu nyingine maana hata connection zitaongezeka pia
 
Umeona khee Kuna sehemu raha tu unajihisi confidence so huku mnaambiwa kasubirini chini ya tent wengine kweny mawe unapoteza confidence mapema nakumbuka pale kivukoni utumishi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hiyo staili huwaga inani disappoint sana,unakuta mmejipanga kama ombaomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…