chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Naomba tujiulize maswali haya!
1. Mhalifu alikuwa na silahaa mbili na moja iliyokuwa hana tumia ni kama AK-47!
Je, Tanzania upande wa usalama inafikiria nini kuhusu silaha kali ambazo si rahisi kukuta nayo mwananchi labda majambazi tena wachache wenye matukio makubwa au wahalifu wachache!
2. Njia aliyokuwepo ni sehemu ya wanaopita viongozi sana,na sehemu ambayo kuna watu wakubwa wanatumia barabara hiyo kuelekea kwenye ofisi, makazi, balozi na n.k
Je, alikuwa akimtaka nani kufanya lolote, kama hawa wafatao:
1. Ubalozi au mabalozi
2. Viongozi wa serekali au sio wa serekali
3. Mwananchi
3. Kwa nini baada ya Tanzania kuanza kutangaza kuwa kuna magaidi ndo haya yamekuwa?
Je, inaonyesha kuwa serekali umakini umepotea kwenye vyombo vya usalama na kama wamekuja kutubeep kuwa wapo!
ila hakuna sehemu au kikundi chochote kilichotamkwa.
4. Kwanini baada ya kufa na mda si mchache watu wameweza kumfahamu kwa haraka?
5. Kuna wakati alikuwa hana toa maneno huku akiwa na hasira!
alikuwa hana toa maneno gani!
6. Kwanini aliwalenga wale walinzi binafsi upande wa geti.
Naomba mdadavue tupate kujua ukweli