Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Jeshi la Polisi ni chombo kinacholinda mali na watu.
Kuna siku IGP na wakuu wengine wa polisi wanalalamika kuhusu watu kutoripoti matukio.
Visa ambavyo vinafanya watu kuogopa matukio ni kama.
•Uvujaji wa siri kati ya mtoa ripoti na mtuhumiwa.
visa hivi ni vingi sana huku mitaani.
•Kesi za mauaji
Hili swala ndo hatari kabisa watu wengi ujipata kuwa matatani asilimia kubwa.
Wanaotambua.