Jamani tafadhali sana msilaumu Polisi.jeshi la polisi ni chombo kinacho mali na watu.
kuna siku IGP na wakuu wengine wa polisi wanalala mika kuhusu watu kutoripoti matukuo.
visa ambavyo vinafanya watu kuogopa matukio ni kama.
•uvujaji wa siri kati ya mtoa ripoti na mtuhumiwa.
visa hivi ni vingi sana huku mitaani.
•kesi za mauaji
Hili swala ndo hatari kabisa watu wengi ujipata kuwa matatani asilimia kubwa !
wanaotambua !
Hiyo sio kesi ni Mambo mbalimbaliMwanaume kubakwa na mwanamke pia polisi hawatakuelewa.
LolMwanaume kubakwa na mwanamke pia polisi hawatakuelewa.
Jamani tafadhali sana msilaumu Polisi.
Nimemwelewa sana Simbachamwene Jana.
Mi zamani nilikuwa nashangaa sana Polisi wanakamata raia ili wawasaidie kazi. Utasikia amekamatwa ili aisaidie Polisi.
Huyu raia haijui PGO wala hajaenda CCP Moshi anawasaidiaje Polisi?
Kumbe tatizo wanachukuliwa wale mazuzumagic waliofeli, kichwani hamna kitu zaidi ya kujua kurusha miguu tu.
Tusiwastaajabie King Ai na Maheetar
Hukumwelewa.Jamani tafadhali sana msilaumu Polisi.