Thats my babynimeacha mpenzi
husomi nyuzHatari gani mpenzi
we hao walikua zamani sikuidhi chako mkononi unakula kituKama hupendwi hupendwi tu sanasana atakujibu asante
[emoji12] [emoji12]Unamtumia massage mtu unayempenda '' I love You '' halafu anajibu "Ok''.
we hao walikua zamani sikuidhi chako mkononi unakula kitu
Haupendwi bana weeh pesa ndio nn mtu akiamua kukupenda anakupenda tu hajali hakuna pesa au vipi
Aisee kama kuna mtu wamjua yupo hivyo chonde chonde nipasie
Ndio mpaka itokee upate wa kukupenda wewe kama ulivyo
Sawa sawa,habari ya siku nyingi
Safi sana za wewe
Mie mzima sana nafurahi kukuonaMie mzima, hofu kwako tu
Sasa hapo huzungumzii mpenzi unazungumzia malaya
mm nishawai mpora mtu demu kisaSasa hapo huzungumzii mpenzi unazungumzia malaya
mm nshamuibia mtu demu kisa pesa na alikua anajielewaSasa hapo huzungumzii mpenzi unazungumzia malaya
Unakalili namba za mademu za nini ??Hahaaaa wewe unaakiri kama zangu ezi nikiwa natongoza. Ilikuwa lazima nifute namba hapo hapo kama mtu analeta habari ambazo sizipendi. Shida inakuja yule ambae mmedumu namba yake labda umeikalili
Ashapata mwingine huyoNi mpenz wangu wa siku nyingi
Hawa ndio dada zetu na ndio wachumba zetu piaMamaaaae hamna kitu nisichopenda kwanza majibu hayo hata ukiwa mwanamke wangu nakuchana laivu.
Yaan majibu ya K P OK n.k ,nmejikunja kuandika ujumbe mzur na kwa hisia ..mamaaaaee , kuna mawili nikuambie kiustarabu ( hapa lazima niwe bado naitaj mawasiliano)
Au nikuambia kwa ukali ,ureact unavyotaka, nikutukane alafu tukatishe mawasiliano
Au ukijib K kubwa, naandika k ndogo P ---p , hii nikiifanya naifanya kwaajili ya Mkakati wa muda ujao.ambao naww utaomba poo.
Mchane laivu uyo demu kua hupendi izo mambo, ukiona haeleweki PIGA CHIN
Pole sana mkuu.Nimeinvest sana mkuu